Wednesday, July 30, 2014

MSTARI WA KIZUSHI UNAKUJIA KIVINGINE MKALI WANGU SOMA HAPA....NI SHIDAAAAA!

Mkali wangu si unaukumbuka ule mstari wa kizushi? Yaani mstari wa kichokozi kutoka kwa msanii yeyote wa bongo Flavor na muziki wowote, sasa unarudi kivingine kabisa. Mstari huu ambao ulikuwa ukitoka kwenye gazeti la Bingwa kila Ijumaa sasa utakuwa ukitoka katika gazeti lako la Mtanzania kila jumamosi kwa hiyo mkali wangu ambaye tulilisongesha pamoja sehemu ile na nilikuhamasisha kuufuata ukurasa ule sasa unaweza kunicheki kwenye gazeti la Mtanzania kila jumamosi mkali wangu, ni shiiiida!

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.