Monday, November 24, 2014

SHABAN KONDO ATUA ASAINI STAND UNITED MCHANA HUU


Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba mshambuliaji wa timu ya Changanyikeni Rangers aliyekuwa akitarajiwa kuanza kucheza mechi yao ya jumatano kwenye uwanja wa mwalimu Nyerere amesaini mkataba mpya na timu mpya ya Stendi United mchana huu,

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.