Wednesday, July 30, 2014

HAPANA CHEZEA USWAZI

UWANJA MPYA huu uwanja upo maeneo ya Changanyikeni Bondeni hapo utawakuta walevi na waendesha boda boda wakikipiga kila jioni ila hapa ndiyo mulikuwa ukizinduliwa babake, jana hiyo. karibuni uswazi jamen ha ha ha ha ha haaaa!

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.