Tuesday, September 30, 2014

PEPO LINAZIDI KUPEPEA


Rose na baby akeee
family

Daah sijui tunaumalizaje mwaka jamani, list inaendelea kuongezeka za mastar wa duniani kumwagana na vimbwanga vya hapa na pale haya kwa dada yetu Rose mambo yameshaharibika jamani, Rose ndugu yangu mkemee shetani wa kuvuruga mauhusiano yako na kumbuka una mtoto weye na  mtoto kulelewa na baba mwingine sio vizuri, please  muombane msamaha yaishe...

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.