Friday, November 21, 2014

HIVI NDIVYO MWANDISHI INNOCENT MUNYUKU ALIVYOAGWA JANA LUGALO


Mkurugenzi wa Radio One Deogratias Rweyunga akipita mbele ya jeneza na kutoa heshima zake za mwisho.

Mwanasheria mkuu wa kampuni ya New Habari akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la marehemu Munyuku, mwenye fulana nyekundu ni Mkurugenzi wa Blog hii Shedrack Kilasi (kamanyani)


Mwandishi mashuhuri wa riwaya nchini Eric Shigongo akitoa heshima za mwisho.
Mhariri mtendaji wa kampuni ya New Habari Absarom Kibanda akitoa heshima za mwisho, mbele yake ni mwandishi wa siku nyingi Iche Mang'enya      Innocent anazikwa leo kijijini kwao Mazimbu Moragoro Mungu amlaze mahali pema peponi, AMINA.

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.