Monday, December 22, 2014

ANGALIA PICHA TIMU YA MAKIPA TANZANIA YAICHAPA TASWA FC 3-0

 Mchezaji wa timu ya Makipa wa Tanzania, ambaye ni kipa wa Simba, Ivo Mapunda (kushoto) akiwania mpira na beki wa Taswa fc, Martine, wakati wa mchezo wa kirafiki wa timu hizo uliochezwa jana jioni katika uwanja wa Bora Kijitonyama, maalum kwa ajili uzinduzi rasmi wa Chama cha makipa wa Tanzania. Katika mchezo huo Taswa fc ilifungwa mabao 3-0.
 Kipa wa Yanga, Deogratius Munisi, akijiandaa kupiga mpira huku akifuatwa na mchezaji wa Taswa fc, Moland.
 Mchezaji wa Taswa fc, Ibrahim Masoud (kushoto) akiwania mpira na Deogratius Munisi.
Hapiti mtu hapa.........
 Beki wa Taswa fc, Sweetbat Lukonge, akimdhibiti Shaban Kado......
 Heka heka langoni mwa Taswa fc
 Wakati wa mapumziko.......wachezaji wakipata mawaidha kwa mwalimu wao.....
 Mapumziko....
 Kikosi cha makipa..

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.