Friday, May 20, 2016

MBUNGE CHADEMA APATA AJALI MBAYA

Mbunge wa Serengeti Mh.Ryoba amepata ajali ya gari la gari lake kuharibika,ameandika hivi katika ukurasa wake wa FB 

Ndugu zangu nimepata ajali mbaya sana baada ya gari langu kukata ball joint. Gari limegonga ukuta wa mtaro na kupinduka upside down , maeneo nyichoka huku Serengeti Gari limeharibika sana . Tulikuwa watatu ndani ya gari hakuna aliyeumia. God is great no one like Him. Asante Yesu kwa kuniokoa

image.jpeg


 

 image.jpeg image.jpeg

 image.jpeg

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.