Friday, May 20, 2016

KWELI POMBE SIYO CHAI: WAZIRI KITWANGA AMETUMBULIWA HIVI PUNDE.


Rais Magufuli ametengua uteuzi wa waziri Charles Kitwanga baada ya kuingia bungeni na kujibu swali akiwa chicha yaani amelewa. Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea blog hii.

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.