Tuesday, May 24, 2016
WEMA ALIVYOTEMBELEA KAMPUNI YA NEW HABARI LEO, PICHA HIZI HAPA.
Msanii wa maigizo Wema Sepetu leo alitembelea kampuni ya New Habari inayochapisha magazeti ya Bingwa,Rai, The African na Dimba na kujionea jinsi magazeti hayo yanavyotengenezwa. Pia aliongea na waandishi wa magazeti hayo kabla ya kupata fulsa ya kupiga picha na wafanyakazi mbali mbali. Mimi nimekugusia tu zicheki hapa picha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
NA MWANDISHI WETU MSANII wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba, jana alisaini mkataba na kampuni kubwa ya muziki ya Sony Music mjini Johannes...
-
Hii ilitokea jana kwenye viwanja vya Reders club ambapo wahudumu wa Castle Lager waliokuwa wakihudumia wakati tamasha Bonanza la kuwasaka wa...
-
UKIONDOA DOSARI NDOGO NDOGO ZA WAAMUZI KUKOSEA KUPITA KIASI UKOSEFU WA JEZI YAANI WENGINE WALIKUWA NA SUB HADI 5 LAKINI WENGINE WAKAZUIWA NA...
No comments:
Post a Comment