Wednesday, October 22, 2014

MJEDA ATEMBEZA KICHAPO KWA MKE WA MTU.




Mjeda mmoja jina tunalo hivi majuzi aliamua kutembeza kichapo kwa mke wa mtu baada ya kuitwa akaamue ugomvi ulikowa ukiendelea baina ya wanandoa wawili huko Changanyikeni Shuleni jijini Dar.
Akiongea kwa uchungu na jazba mwanamke huyo anayedai kutembezewa kichapo hicho na mjeda huyo alisema mwanajeshi huyo ambaye ni jirani yao aliitwa nyumbani kwao hapo kwa ajili ya kuamulia ugomvi uliokuwa ukiendelea baina yake na mumewe lakini cha kustaajabisha badala ya kufanya kazi iliyomleta yeye alifika na kuanza kutembeza kichapo cha nguvu kilichopelekea mwanamke huyo kupata maumivu makali sehemu ya kifuani.
Sakata hilo lililotokea maeneo ya Changanyikeni juu Shuleni lilimalizika mnamo saa sita usiku baada ya majirani kadhaa kumpeleka mama huyo kwa mjumbe ambaye aliamuru waende polisi au wakayamalizie nyumbani angalia picha za tukio zima hapa.


 Mume wa mama huyu pichani akimpoza mkewe na jirani yao mmoja jana usiku.







 presha imepanda sasa




No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.