Tuesday, October 15, 2013

LULU AJIFUA KWA KUZIPIGA NA FATUMA OMAR

BONDIA LULU KAYAGE BAADA YA KUMALIZA MAZOEZI AKIWA AMEPOZI
Kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli kushoto akiwasimamia mazoezi bondia Lulu Kayage na Amir Shekh wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya mazoezi Ilala iliyopo Amana Dar es salaam jana. 
Mabondia Amir Shekhe kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Lulu Kayage wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Amana Dar es salaam jana Lulu ana jiandaa na mpambano wake na Fatuma Omari utakaofanyika Oktober 26 katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni Picha na

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.