Msanii wa Bongo Flava Jux anayefanya poa katika game la hapa Tzee kupitia nyimbo zake kibao na kupelekea fans wake kumkabali zaidi. Baada ya kusafiri kwenda kufanyia video yake katika nchi ya China, sasa msanii huyo anatarajia kuizindua video ya wimbo ‘Uzuri wako’ siku ya Jumapili tarehe 1/9/2013 ndani ya Bilicanas, ikiwa pamoja na kusherekea siku yake ya kuzaliwa. Wasanii watakao msindikiza Jux ni Vanesa Mdee, Quick Rocka, Izzo Bizness, Mirrow, na wasanii wengine kibao watakuepo.
Tuesday, August 27, 2013
PICHA ZA VIDEO YA JUX ILOFANYIKA CHINA HIZI HAPA!
Msanii wa Bongo Flava Jux anayefanya poa katika game la hapa Tzee kupitia nyimbo zake kibao na kupelekea fans wake kumkabali zaidi. Baada ya kusafiri kwenda kufanyia video yake katika nchi ya China, sasa msanii huyo anatarajia kuizindua video ya wimbo ‘Uzuri wako’ siku ya Jumapili tarehe 1/9/2013 ndani ya Bilicanas, ikiwa pamoja na kusherekea siku yake ya kuzaliwa. Wasanii watakao msindikiza Jux ni Vanesa Mdee, Quick Rocka, Izzo Bizness, Mirrow, na wasanii wengine kibao watakuepo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Hii ilitokea jana kwenye viwanja vya Reders club ambapo wahudumu wa Castle Lager waliokuwa wakihudumia wakati tamasha Bonanza la kuwasaka wa...
No comments:
Post a Comment