Tuesday, April 11, 2017

KIONGOZI WA FREEMASONS ANDY CHANDE ALIVYOZIKWA LEO KWA KUCHOMWA MOTO.


Balozi Juma Mwapacho akiongea na waandishi wa habari alipohudhuria mazishi hayo.





Ndugu jamaa na marafiki wa marehemu Andy Chande ambaye ni kiongozi mkuu wa Freemasons Afrika mashariki na Tanzania wakiwa wameubeba mwili wa kiongozi huyo tayari kwa kuuchoma moto ikiwa ni taratibu za mazishi yao.


Picha zote na Tunu Nasor.

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.