Sunday, August 17, 2014

CHEKI PICHA WAHUDUMU WA CASTLE WAKISAGANA HADHARANI

Hii ilitokea jana kwenye viwanja vya Reders club ambapo wahudumu wa Castle Lager waliokuwa wakihudumia wakati tamasha Bonanza la kuwasaka washindi sita wa kwenda Barcelona likiendelea. Bila aibu wanadada hao ambao waligoma kutaja majina yao waliamua kuwaita wapiga picha na kuanza kula denda hadharani kweupe. ana mwenyewe

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.