Monday, December 8, 2014

YANGA B NA CHANGANYIKENI RANGERS LIVE KUTOKAME KARU

KUMRADHI:
MPENZI MSOMAJI WA BLOG YA KAMANYANI TULISAHAU KUKUARIFU KUWA LEO TUTAKUWA LIVE KUKUJULISHA MATOKEO YA LIGI DARAJA LA PILI KATI YA CHANGANYIKENI RANGERS NA YANGA B INAYOTEGEMEA KUANZA DAKIKA CHACHE ZIJAZO KATIKA UWANJA WA KARUME;

TIMU NDIYO ZINAWASILI UWANJANI NA WAAMUZI WANAPASHA MISULI MOTO.



No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.