Wednesday, April 23, 2014

Roma yaichapa 2-1 KKKT


 Na Mwandishi wetu.

TIMU ya soka ya Romani Katoliki imeifunga KKKT bao 2-1 juzi, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika Uwanja wa Chuo cha Takwimu, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na KAMANYANI.COM jana, kocha wa timu ya Roma, Bosco Mwanyika, alisema wameamua kufanya hivyo kwa ajili ya kuwa na ujirani mwema.

Alisema mara nyingi watu wamekuwa wakifanya kazi za kanisa, ila hawapendi kujituma katika m
  Mshambuliaji hatari watimu 
ya Rc Shedrack Kilasi
mambo ya kutengeneza mwili kama kufanya mazoezi.
“Tunatarajia kupanga programu ya michezo tutakayofanya mara kwa mara ili kuhakikisha miili yetu inakuwa imara na nguvu, kwani muda mwingi tunafanya kazi za kukaa zaidi,” alisema Mwanyika.


No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.