Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bi.Juliana Yassoda akiwa na Bondia wa Dunia wa uzito wa juu Francois Botha alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuzungumzia masuala ya mchezo wa ndondi utakaofanyika 30 Agosti mwaka huu katika ukumbi wa Diamond.
Bondia wa Dunia wa uzito wa juu Francois Botha akionyesha jinsi ya kupambana kulia ni Yasini Abdalla Rais wa Shirikisho la ndondi nchini ,kushoto ni mdau wa ndondi , uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment