Tuesday, August 20, 2013

Ujumbe muhimu kwa wanaouza makalio yao mitandaoni.....



Unapiga Picha unaandika maneno mazuri tu na kupost Facebook ama Instragram ,''Asante Mungu kwa siku hii ya Jumatatu,AMEN''...

Cha  kushangaza  ni  kwamba  picha yenyewe umepiga makalio yako  na  umeyageuzia kwa   watazamaji.Kwani kuna uhusiano gani wa Makalio yako na siku ya Jumatatu???

Au unamaanisha yana shape ya Jumatatu?Halafu wengine basi tu mnapenda kuweka lakini wala shape zenyewe sio kiivyo,sio kwa sababu yule kaweka basi na wewe unatuwekea mkusanyiko wako wa viazi vitamu na kaukau,unajishushia heshima....
 
Sio kila kitu ni cha kuiga,Huo  ni  ushamba  na  hamjui tu tunawatafsirije huku mtaani...


Butt**cks FOR SALE japo hamjaweka kibao!
ASANTENI

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.