Thursday, October 31, 2013

DIAMOND PLATNUMZ: AWAJIBU WALIO COMMENT UPUUZI KWENYE INSTAGRAM SOMA HAPA

Ujumbe huo hapo chini unajitosheleza pita ukisoma japo kimya kimya......


Babu Tale, Zamardi na Diamond ndani ya Zanzibar kwaajili ya mazishi ya Balozi Sepetu 
Habari ndo hiyo kwa wazushi. Well done Prezident wa Wasafi na leo naona ametokelezea ki Al Haj zaidi.

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.