LADY GAGA NOOOOMA! CHEKI ALIVYOMWAGA RAZI.
Lady Gaga ameonesha kava la wimbo wake mpya “Do What U Want” aliomshirikisha R. Kelly na ni utata mtupu.
Katika kava hilo, muimbaji huyo ameonekana akiwa amepigwa picha
inayoonesha asset yake na nywele zake zikiwa zimesambaa kufunika mgongo
wake wote.
Wimbo huo utakuwepo kwenye albam yake ijayo, ARTPOP, itakayoingia rasmi kwenye iTunes Jumatatu saa 6 usiku
No comments:
Post a Comment