Monday, October 21, 2013

LULU AFUNGUKA KUHUSU KESI YABABU SEYA.


“Ninaamini Mungu 
yupo...anasikia,anaona na ndiye mwenye kuhukumu kwa Haki...!!!!Dua zangu
ziko pamoja na Mzee Nguza na Papii Kocha...!hakuna linaloshindikana 
mbele ya Mwenyezi Mungu...Kama anaweza kutoa Jaribu basi yeye pia ndo 
 
mwenye Uwezo wa kufanya Njia ya kutoka ktk jaribu Hilo...!Mwenyezi Mungu
 
awasimamie katika rufaa yenu...!AMEN”
Hayo ni maneno ya mwanadada Elizabeth
Michael (LULU) aliyoyaandika kupitia kwenye mtandao akiwaombea kheri 
 
Mzee Nguza na mwanawe Papii Kocha wanaosubiria kusikilizwa kwa rufaa yao
ya kesi ya ulawiti inayowakabili
Toka atoke jela, mwanadada lulu ameonekana kubadilika sana kitabia tofauti na alivyokuwa akionekana hapo awali.

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.