Thursday, November 28, 2013

HAYA NDIO MANENO MAZITO YA ZITTO KABWE JUU YA MAREHEMU AMINA CHIFUPA

Hii picha ni ya May, 2011 kipindi ambacho Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe alienda
kutembelea kaburi la rafiki yake kipenzi Marehemu Amina Chifupa aliyekuwa Mbung wa CCM Kupitia Vijana Alipotembelea Kijiji Cha Lupembe, Mkoani Njombe. Mbunge huyo anaendela kumkumbuka Amina kila siku kwa ujasiri wake na matendo yake yakutaka mabadiliko nchini. 


Na kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika maneno haya:



No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.