Sunday, November 17, 2013

MPYA!!! KUTOKA KWA TYSON..... AANZA KUTOBOA SIRI ZAKE MWENYEWE ZA WAKATI ULE ....SOMA HAPA


Bondia wa zamani Mike Tyson ameushangaza ulimwengu baada ya kukiri kwamba wakati ule akiwa maarufu na akifanya kazi yake ya ubondia, wakati mwingine alikua akitumia
dawa za kulevya na mara kwa mara alikua amelewa wakati yuko ulingoni.
Hilo ni moja kati ya mambo makubwa aliyoyaandika Mike Tyson kwenye kitabu chake ambapo anakwambia pia alikua akitumia uume bandia kwenye vipimo.
Mike Tyson anasema mpaka leo hii anapokutana na watu, huwa kinaweza kutokea chochote kile kutokana na mood yake wakati huo ama siku hiyo, wakati mwingine anaweza kuwa na hasira na akapiga mtu yeyote atakae mchokoza lakini wakati mwingine anaweza kuwa mpole.

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.