Tuesday, November 19, 2013

TAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI JANA KATIKA MSIBA WA MKE WA DR JOHN

HAPA Dr John akiwa na watoto wake wote alioachiwa na mkewe baada ya kufariki Dunia, Aliyepakatwa ni Irine mwenye umri wa miezi 6 anaefuatia mwenye fulana ya mistari mistari ni Sarah akifuatiwa na Happyness mwenye T.shirt ya njano tukimalizia kabisa kulia na dada yao Josephine John. BONGOCLAN TANZANIA ina
watakia familia hii maisha yenye wepesi wa kila jambo m/mungu aitangulie familia hii baada ya tukio hili la msima huu.
''Dan Msimamo''
MSANII ''Joni Woka'' Kutoka kundi la WA2KU2 linaloundwa na wasanii wawili wakongwe Ras Lion A.k.a Ndukusulilikucho na Joni Woka.







Huu ndio mjengo wa msanii Dr John aliyefiwa na mkewe.
HUYU ni ''Sarah John'' Mtoto wa pili wa Dr John aliyeachwa na marehemu Bi Estha..

PICHA HIZI NI KWA HISANI YA MASAINYOTAMBOFU.COM
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.