Wednesday, February 5, 2014

BASI UNAAMBIWA HUU NDO MKOKO MPYAAAAAA ALIOUNUNUA MSANII JOHARI

Mwaka 2014 umeanza vizuri kwa mwanadada Johari Chagula baada ya hivi karibuni kuvuta usafiri mpya kabisa aina ya Mark X ambayo thamani yake inasemekana kuwa zaidi ya Tshs. Millioni 25 za kibongo.


Gari hii kaionyesha ikiwa ni siku chache tu baada ya kutoka Mbeya, ambapo yeye pamoja na wasanii wenzake wa Bongo Movies walipotangaza kujiunga na CCM 



SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.