Tuesday, June 3, 2014

MWILI WA GEORGE TYSON KUAGWA KESHO




Mwili wa aliekuwa muandaji wa vipindi mbalimbali na movie George Otieno Okumu (Tyson) utaagwa kesho katika viwanja vya leaders Dar Es Salaam na baadaye  kusafirishwa Kisumu nchini Kenya tayari kwa mazishi..

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.