Wednesday, June 4, 2014

WANAADAM WABAYA




Eeeh Mungu wangu hii ni zaidi ya dhambi kwa kweli, wapo watu wanatoa pesa nyingi sana ili wapate mtoto na hawajapata kutwa kucha wanashinda makanisani na misikitini, wewe Mwenyezi Mungu amekubariki unafanya hivi?? daaah hii picture imeniudhunisha sana tena sana, huyu malaika wa Mungu ana hatia gani jamani?

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.