Thursday, March 31, 2016

BREAKING NEWS: MAGARI YA TFF YOTE YAKAMATWA NA TRA.

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE:
MAGARI YANAYOMILIKIWA NA CHAMA CHA SOKA NCHINI YAMEKAMATWA YOTE KUTOKANA NA KUDAIWA KODI INAYODAIWA NI KIASI CHA SHILINGI. BILIO. 1.11
BADO TUNAIFUATILIA KWA MAKINI HABARI HII ITALETWA KWENU BAADA YA KUKAMILIKA.

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.