Monday, April 4, 2016

AJALI MBAYA YA MOTO, DEREVA AUNGUA NDANI YA GARI LEO.

KUNAGARI IMEPATA AJALI MAENEO YA MBEZIBEACH AFRICANA GARI NO T598BEL TOYOTA LANDCRUISER DEREVA KAUNGUA AJAFAHAMIKA ATA KWA SURA,SAMBAZA UJUMBE HUU GROUP TOFAUTI ILI WENYE NDUGU WAMFAHAMU,GARI IPO POLISI KAWE.....SORCE, IMANUEL KIHAULE.

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.