Tuesday, May 24, 2016

WEMA ALIVYOTEMBELEA KAMPUNI YA NEW HABARI LEO, PICHA HIZI HAPA.

Msanii wa maigizo Wema Sepetu leo alitembelea kampuni ya New Habari inayochapisha magazeti ya Bingwa,Rai, The African na Dimba na kujionea jinsi magazeti hayo yanavyotengenezwa. Pia aliongea na waandishi wa magazeti hayo kabla ya kupata fulsa ya kupiga picha na wafanyakazi mbali mbali. Mimi nimekugusia tu zicheki hapa picha.













No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.