Mwagito Blog:
Monday, November 21, 2016
CHEKI VIDEO YA MECHI ZA USWAZOI HAPA
Timu ya soka ya Mbuyuni Fc. juzi kati iliitembezea kichapo cha nguvu timu ya Ubungo Mawasiliano katika mtanange wa ligi ya Mbuzi uliopigika kwenye uwanja wa Dtv Makongo juu.
Ebwana eeh, nimekuwekea hapa video ya gemu hiyo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.
SOMA KATUNI 9 ZA KILASI WIKI HII
SISTER P YUKO WAPI, SOMA HAPA
Anakuja ,anakuja….Sister P…..anakuja anakujaa Sister P,anakuja anakuja Sister P anakuja kwenye fani ngangariiiiiii, anakuja Sister P...
SOMA KATUNI ZA SIASA HAPA
No comments:
Post a Comment