Tuesday, February 7, 2017

HIVI NDIVYO MINJA " BIG WA MANCHESTER " ALIVYOAGWA CHANGANYIKENI DSM.

Picha ya kwanza ni Big akiwa na vijana wa Majungu Press maeneo ya changanyikeni mwicsho na nyingine zinaonyesha umati wa watu ukiwa nje ya kanisa la Kkkt usharika wa Changanyikeni baada tu ya kuuaga mwili wa Minja aliyefariki ghafla hivi karibuni.
Mwili huo uliagwa siku ya jumapili na kusafirisha hadi Moshi ambako yalifanyka mazishi, mbali na Manchester Big pia alikuwa mwanachama wa timu ya Changanyikeni Rangers inayoshiriki ligi daraja la tatu taifa.     Pumzika kwa amani nduguyetu.Image may contain: 6 people, people smiling, people sitting and outdoor










1 comment:

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.