JINA LAKE KAMA NIMELISAHAU HIVI LAKINI HUYU DADA NDIYE MWENYEKITI WA IDARA YA HABARI PALE KANISANI CHANGANYIKENI NA NDIYE ALIYEHUSIKA NA UPIGAJI WA PICHA NYINGI ZA TUKIO HILI.
EBWANA EEH, ILIKUWA NI BONGE MOJA LA BURUDANI LA KIKRISTO PALE KANISANI KKKT MAKONGO JUU HAPO NI MKURUGENZI WA MWAGITO TV,MWAGITO BLOG NA PAGE YA UPUUZI WA MWAGITO SHEDRACK KILASI AKIPOKEA KITU CHA SUPU YA MBUZI NA NA NYAMA CHOMA, BARIKIWA SANA MCHUNGAJI KWA MAANDALIZI YA HII KITU.
No comments:
Post a Comment