WASANII WANAONGEA NA RC.MIDA HII KUHUSU KUTEKWA KWA ROMA MKATOLIKI
Baadhi ya wasanii wameanza kuwasili zilipo studio za Tongwe Records, Coco Beach Masaki, ikiwa ni katika kikao cha dharura kujadili mustakabali wa msanii Roma Mkatoliki aliyepotea baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana. Chanzo Mwananchi.
No comments:
Post a Comment