DILLISH MSHIRIKI KUTOKA NAMIBIA NDIO MSHINDI WA KITITA CHA DOLA LAKI TATU, HUKU CLEO AKITOKA JUMBANI KABLA YAKE AMBAPO KABLA ALIONGOZWA NA ALIKEM, BIMP NA BEVERLY .
huyo anayovishwa sio crown ukishindwa BIGBROTHERAFRICA unavishwa bali ni crown anayovishwa na mpenziwe STEVE, kumuonesha ye ndo malkia wake
NIMEJIFUNZA KITU LEO, WENGI HUSEMA HUU MCHEZO NI WAKIHUNI. ILA LEO NIMEAMINI UHUNI NI HULKA YA MTU, KUNA WANAOENDA HUMO NA WANA WAPENZI WAO, NA WANAFANYA YAO NA KURUDI KWA WAPENZI WAO, ONA DILLISH ALIMBANIA HUMO NDANI, AKAWA ANAJUA AMEFUATA MKWANJA NA KAUZOA NA BWANA STEVE KAJA MPOKEA
SOMO ALOTWITIKA NALO MASANJA MKANDAMIZAJI Twitter
No comments:
Post a Comment