Monday, August 26, 2013

SIMBA SC WAANZA KUMKUMBUKA KASEJA KWEUPEEEEE!!!.


#Bongo 255:SIMBA SC WAANZA KUMKUMBUKA KASEJA BAADA YA DHAIRA KUFANYA VIBAYA JANA.

MASHABIKI wa Simba SC jana walimkumbuka kipa wao wa kwanza wa muda mrefu, Juma Kaseja kufuatia kipa wao wa kwanza wa sasa, Abbel Dhaira kufungwa mabao rahisi katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Rhino Rangers, Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini hapa, timu hizo zikitoka 2-2.  
Baada ya mchezo huo, mashabiki ambao wametoka Dar es Salaam kuja kuisapoti timu mjini hapa walianza kulalamikia uamuzi wa uongozi kumtema Kaseja, kama ulikuja mapema mno.

Unaweza ukashea hii popote pale na wengine wafahamu.!!!!!!!!!!MASHABIKI wa Simba SC jana walimkumbuka kipa wao wa kwanza wa muda mrefu, Juma Kaseja kufuatia kipa wao wa kwanza wa sasa, Abbel Dhaira kufungwa mabao rahisi katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Rhino Rangers, Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini hapa, timu hizo zikitoka 2-2.
Baada ya mchezo huo, mashabiki ambao wametoka Dar es Salaam kuja kuisapoti timu mjini hapa walianza kulalamikia uamuzi wa uongozi kumtema Kaseja, kama ulikuja mapema mno.

Unaweza ukashea hii popote pale na wengine wafahamu.!

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.