Thursday, August 29, 2013

ETO'O AWASILI LONDON KUJIUNGA NA CHELSEA

   

Full steam ahead: Samuel Eto'o arrived at St Pancras station on Wednesday night ahead of his move to Chelsea
Samuel Eto'o akiwasili London usiku wa jana

Chelsea inakaribia kumsajili mshambuliaji Samuel Eto’o kwa dili la mwaka mmoja lenye thamani ya £7million kwa mkataba wa mwaka mmoja leo Alhamisi baada ya kukiri kushindwa kumpata mshambuliaji wa  Manchester United Wayne Rooney. 
Eto’o, 32, amekubali kupunguza dau lake alilokuwa akilipwa na Anzhi kiasi cha £17m kwa mwaka na sasa atasaini atasaini akiwa huru. 

Pamoja na hilo, lakini inaeleweka kwamba Anzhi wamemlipa Eto'o millioni kadhaa ili kuweza kumuondoa katika listi wachezaji wanaolipwa fedha nyingi ndaniya klabu ya Anzhi.
Eto'o aliwasili jijini London jana usiku na anategemewa kufanyiwa vipimo vya afya mchana wa leo katika uwanja wa mazoezi wa Chelsea Cobham.


London calling: Eto'oChelsea bound: Cameroon striker Eto'o arrives at St Pancras

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.