totoo akeee leo ndio 30th tukutane Mlimani City sehemu ya waastarabu huku tukiwa hatutokwi jasho wale wa ma powderrr usijali full kiyoyozii huku tukipelekwa mputa na Anaconda, na tukirudishwa taratibu na Amini pamoja na yule bingwa wa longolongo Barnaba (nimemtania tu mie na yeye twajuana so dn take it personal maan)
kwa wale wenye table mtapigaje umbea mana ni suna haya baana ni mambo ya FOOLISH AGE usiku wa leo
No comments:
Post a Comment