Friday, August 30, 2013

NDINGA ALIYOPEWA GURUMO NA DIAMOND HII HAPA.



Pichani juu ni gari aina ya FunCargo lenye namba za usajili T789 AYS alilopewa Mzee Muhidin Gurumo na msanii mahiri wa muziki wa Bongofleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' wakati akizindua video yake mpya iitwayo 'Number One' jana katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.