Thursday, August 29, 2013

MASHABIKI WA YANGA WALIPIGA MAWE BASI LA COASTAL NA KUVUNJA VIOO


Siku ya jana baada ya mchezo wa Yanga vs Coastal Union kuisha - timu ya Coastal ikiwa inaondoka uwanja wa taifa ilifanyiwa vurugu na mshabiki wanaosadikika kuwa wa Yanga. Katika vurugu hizo inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na huku mchezaji wa Coastal Union  Hamad Juma 'Basmat', amepasuliwa kichwani na ameshona nyuzi kadhaa.

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.