Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mbuyuni Tumaini Hemed Jana alikabidhi zawadi ya Jezi seti moja kwa timu ya mpira wa miguu ya Changanyikeni kutokana na timu hiyo kufanikiwa kupanda daraja na kutinga daraja la tatu wilaya ya Kinondoni.
Zawadi hiyo aliahidi siku zilipofanyika sherehe za kuipongeza timu hiyo na papo hapo alitoa tsh, 100000 na kufanya harambee ambayo ilifanikisha kupatikana kwa kiasi kingine cha tsh, 1.Milioni.
Akizungumza na mwagitocartoon.blogspot.com Tuma alisema amehamasika mno na kiwango cha timu hiyo kutokana na kuiwakilisha vyema na kuitangaza Changanyikeni sehemu ambayo yeye ni mmoja wa viongozi na wakazi wa eneo hilo.
"Mimi kwanza tangu nikiwa mdogo nilikuwa sipendi michezo mingine, mchezo wangu ulikuwa ni huu tu labda na Basketi kidogo, kwa hiyo imekuwa kama bahati leo nimekuwa kiongozi na nimekuja kukutana na hawa vijana leo na ahidi pia kwamba nitatoa na sare za makacha pia." Alisema Tumaini.
Akizungumza baada ya kupokea zawadi hizo nahodha wa timu hiyo Gody Masai alisema kutokana na motisha hiyo atawahamasisha wachezaji wenzake kujituma katika mazoezi ili kuifikisha timu kwenye madaraja ya juu na ikibidi icheze hata ligi kuu bara ingawa alikili kuwa changamoto ni nyingi.
Mfadhili wa timu hiyo pia Omary Mohamed ambaye hakuhudhuria katika makabidhiano hayo yaliyo tanguliwa na mechi ya kirafiki alisema ni vema kuona na wengine wakijitokeaza na kuipasapoti timu hiyo ambayo awali ilikuwa ikijikusanya kusanya na kucheza pasipo usimamizi. "Kama hivi, akija na mwingine na mwingine naamini timu yetu itafika mbali kwani mimi binafsi naweza kuwa na mambo mengi lakini kama na wengine mnakuwa na moyo wa kuisaidia japo kidogo timu naamini kazi inakuwa rahisi kuifikisha sehemu tunapo pataka." Alisema Omary.
..

MCHORA KATUNI MAARUFU NCHINI NA MKURUGENZI WA MTANDAO HUU SHEDRACK KILASI (MWAGITO) AKITHAMINISHA MZIGO MPYA...
BAADA YA MAKABIDHIANO IKAJA ZAMU YA SUPU SASA PALE CHUO CHA TAKWIMU CHANGANYIKENI.
MCHEZAJI NA MKURUGENZI WA BLOG HII SHEDRACK KILASI MWENYE FULANA NYEKUNDU ALIKUWEPO PIA ALIYEKAA NA KOCHA ERWIN KOMBA
KATIBU ANAWAZA SUPU..
HUYU WHITE SIJUI BAANGE?
MOSES GODWIN " MUNYAMA"
MUDDY UNAKABA HADI SODA!
No comments:
Post a Comment