VIDEO YA NGONO NDIO ILIYOMTOA MSHIRIKI NDANI YA BIG BROTHER..
Kinachoonekana ni kwamba, BBA ni sawa na shindano la laana ambamo
asilimia kubwa ya washiriki wake ni wacheza filamu chafu au watu wenye
skendo mbaya....
Mshiriki mwanadada maarufu kwa jina la Pokello njemba iliyojulikana kwa jina la "Desmond Chideme
" maarufu kama Stunner wanaonekana wakifanya ngono bila kutumia kinga.
Skendo hiyo imewakera sana watu wa Zimbabwe kiasi kwamba wamelazimika
kutengeneza ukurasa wao maalumu wa facebook unaohamasisha kura za
kumng'oa mrembo huyo pindi atakapowekwa kikaangoni....
Video
hiyo ambayo ilirekodiwa kwa kutumia simu ya iphone na kubadilishwa
kwenda kwenye fomati ya avi ilivuja baada ya boyfriend wa pokello kuitoa
video hiyo na kumpa rafiki yake wa karibu huku akijisifu.
Kuitazama video hii ni sharti uwe mtu mzima (18+
No comments:
Post a Comment