Monday, October 28, 2013

WANAUME WAMENILA URODA BURE MIAKA MINGI SANA

Aunt Lulu
namna hii kweli wataacha kufanya
yao kwa buree kabisa??
waache wajimalizie shida zao 

Katika mahojiano yake na gazeti moja hapa jijini nimesikia aunt lulu akisema wanaume wamemla sana uroda bure kwa miaka mingi sana bila faida, ila kwa sasa harudii kosa hilo ni mwendo wa faranga kwa kwenda mbele, sincerely kwa hizo pics hapo juu nani anaweza akawa na mwanamke kama huyu and shower her dollazzzz?? men also haaaaa as they say one man's meat is another man's poison.

 kwahio tusiliongelee sana ila wakati mwingine maneno tunayaongea ktk media yanafanya wasanii waonekane kituko katika jamii kabisa na akili zako na unajitambua wewe ni msanii  unaweza ukaongea pumbaless kama hii na watu wakasoma na kukuelewa ?

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.