Saturday, November 16, 2013

DIAMOND "WAMENIULIZA KWANINI NAUZA MIITO"


 Akiwa Katika Interview ya TV huko Nigeria Diamond aliulizwa kwanini yeye ndio Msanii anayeuza Nyimbo za Miito ya Simu Kuliko Wanamuziki Wote East Africa ..Na hivi ndivyo Alivyojibu...

"Sijui Mungu Ndio Anajua Siri iliyoko"

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.