Timu ya soka ya Changanyikeni Rangers juzi ilijinyakulia
pointi za bure kutokana na wapinzani wa ambao ni timu ya Tegeta kushindwa
kutokea kwenye mtanange ambao ulitarajiwa kufanyika kwenye uwanja wa Kinesi
uliopo maeneo ya Urafiki jijini Dar es salaam na kuwajiwekea nafasi nzuri ya
kuiwakirisha wilaya ya Kinondoni katika mashindano ya ligi daraja la tatu mkoa
wa Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment