Tuesday, June 10, 2014

PICHA KAMPUNI YA NEW HABARI IKIWATANGAZA WASHINDI WA BAHATI NASIBU YAO.


Msanifu wa kurasa wa magazeti yanayotolewa na New habari (2001) Limited Ikupa Mwakiteleko akipozi kwa picha kabla ya droo hiyo kuchezeshwa



Sanduku lenye kuponi likifunguliwa kwa ajili ya kuchezesha droo hiyo.















Baadhi ya waandishi wa vyombo mbali mbali vya habari nchini wakishuhudia uchezeshwaji wa droo hiyo






Mhariri mtendaji wa kampuni ya New Habari (2006) Absalom Kibanda akiongea na waandishi wa habari sambamba na wananchi waliohudhulia uchezeshwaji wa ndroo hiyo























No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.