BAADA KAMANYANI.COM KULIVALIA NJUGA HATIMAYE BARABARA YA CHUO CHA SHERIA YAANZA KUTENGENEZWA
Baada ya blog hii kutoa picha mbali mbali zikionyesha ubovu wa bara bara inayoingia kwenye chuo cha sheria kilichopo maeneo ya Mawasiliano Tower hatimaye bara bara hiyo imeanza kutengenezwa jana kama ilivyokutwa na mpigapicha wetu.
No comments:
Post a Comment