Sunday, August 17, 2014

CHEKI PICHA ZA BONANZA LA CASTLE.

UKIONDOA DOSARI NDOGO NDOGO ZA WAAMUZI KUKOSEA KUPITA KIASI UKOSEFU WA JEZI YAANI WENGINE WALIKUWA NA SUB HADI 5 LAKINI WENGINE WAKAZUIWA NA HATA JEZI KUNA WALIOPATA HADI NANE LAKINI WENGINE WAKAPEWA 6, INGAWA TASWA FC NI TIMU KUBWA NA NDIYO ILIYOKUWA NA JUKUMU LA KUANDIKA NA KUTANGAZA BONANZA LILE LAKINI HAIKUPEWA HADHI YOYOTE NA KULINGANISHWA NA TIMU NYINGINE ZA MTAANI. HATA HIVY NAAMINI SIKU NYINGINE WAANDAAJI WATAJIPANGA KUREKEBISHA HILI LIKIWEMO KUWATHAMINI WAANDISHI NA WAPIGA PICHA WOTE. VINGINEVYO NGOMA ILIKUWA POA JAMANI. PICHA ZOTE NA. Shedrack Kilasi (Kamanyani)

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.