Hivi ndivyo ilivyo bara bara inayokwenda kituo kikuu cha dala dala Ubungo au Simu 2000 kama kinavyoitwa. Huwa napata tabu sana kuwaelewa viongozi wetu yaani bara bara Legho mpaka Ubungo Plaza ambayo haina msaada mkubwa kwa jamii imewekwa Lami na sasa wanatengeneza bara bara ya Chuo kikuu mpaka Kimara baruti kwa kiwango cha Lami lakini hebu angalia bara bara hii ambayo inaelekea kituo cha mabasi ambacho ni tegemeo la wakazi wengi wa jijini Dar ilivyo.
No comments:
Post a Comment