Kutokana na tetesi za hapa na pale kwenye usajili kuna mtu mmoja ametengeneza hii picha kwamba kama Manchester ikifanikiwa kuwapata wachezaji wote wanatamani kuwapata kwenye muda huu wa usajili basi hiki ndio kitakua kikosi chao.
Kama kawaida sio wote wanaotajwa kwenye tetesi huwa wanafanikiwa kujiunga, wakati mwingine timu huzidiwa ujanja au mchezaji anaipotezea ofa yao.
No comments:
Post a Comment